HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 19, 2014

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikaribishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi.
Maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” jana mjini Morogoro wakatiwa ufunguzi wa mkutano wa baraza la wafanyakazi idara ya Polisi.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (katikati), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu (kulia) na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi , Alcado Nchinga (kushoto) wakiimba wimbo wa “Solidarity Forever” kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad