Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsalimia Waziri
Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati
walipokutana katika msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick
Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam
leo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,Mzee Joseph Butiku wakati
wakiwa kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick
Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam
leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akibadilishana mawazi na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokuwa wakiondoka msibani,mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Prof. Issa Shivji wakati walipokutana kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.

No comments:
Post a Comment