Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakiwa kwenye katikati ya kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Feb 9, 2014.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika pamoja na familia ya marehemu kwenye kiosomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Feb 9, 2014.
Kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kikiendelea.
Mume
wa marehemu Zainabu Buzohera,Bw. Dullah akiwa katika picha ya pamoja na
mdogo wa marehemu,Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa
wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer
uliopo Hyattsville, Maryland.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata
Mulamula akiwaongoza Watanzania kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa
wetu Zainab Buzohera aliyefariki Jan 4, 2014 kwenye hosipitali ya
Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland.
Watanzania
wa DMV na majimbo mengine wakijumuika na familia ya wafiwa kwenye
kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili
Feb 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Watanzania
wa DMV na majimbo mengine wakihudhuria kisomo cha arobaini ya marehemu
Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Feb 9, 2014 katika mgahawa wa
Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland maeneo ya Langley Park.
Kisomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichafanyika siku ya Jumapili feb 9, 2014 kikiendelea.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakufuatilia kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014.
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog

No comments:
Post a Comment