Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiangalia bidhaa zilizokwisha kuwa tayari kwa mauzo, walipotembelea katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake nje ya Mji wa Mumbai India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akioneshwa kitu na Afisa Rajiv Shah, alipotembelea katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake , kuona utendaji kazi za kila siku kiwanadani hapo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Ujumbe wake wakipewa maelezo kutoka kwa Afisa Rajiv
Shah,alipotembelea kiwanda cha Viungo Kampuni ya (Everest Spice
Industrues Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais akimaliza
ziara yake ya siku tisa katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika
nyanja mbali mbali za uchumi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiuliza jambo wakati alipofika katika mashine ya kusaga
pilipili katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) na
Ujumbe wake wakiwa na Afisa Rajiv Shah, wakati alipotembelea kuona
utendaji kazi za kila siku nje ya Mji wa Mumbai India,Rais
amemaliza ziara yake ya siku tisa katika kukuza uhusiano na
ushirikiano katika nyanja mbali mbali za uchumi India
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na ujumbe wake wakiangalia karafuu wakati walipotembelea kiwanda
cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd) ambacho viungo husagwa
na kutumika katika matumizi tofauti ikiwemo chakula dawa na
mengineyo,(kulia) Afisa Rajiv Shah, akitoa maelezo kwa ujumbe wa Rais
wakati ulipofika kiwandani hapo jana Mumbai India,katika ziara ya
kiserikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi ikiwa
katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha
cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai India akiwa
katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India
John W.H.Kijazi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akioneshwa kitu na Afisa Rajiv Shah, alipotembelea katika kiwanda cha
Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake , kuona
utendaji kazi za kila siku kiwanadani hapo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais alitembelea akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais alitembelea akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipokuwa akitoa hutuba fupi ya shukurani katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais alitembelea kiwanada hicho akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo,(kulia) Mkuruigenzi wa Kiwanda hicho Sanjeev Shah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa vazi la heshma katika Nchi ya India na Mkurugenzi Sanjeev Shah wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali Nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mkurugenzi Sanjeev Shah wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali Nchini humo
Waandishi wa Habari wa vyombo tofauti vya Mji wa Mumbai wakiwa katika harakati za kupata picha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao baada ya kukitembelea Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mkurugenzi wa Mkurugenzi Sanjeev Shah wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali Nchini humo. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment