HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 17, 2014

Alosco FC na Oilcom Fc zatoshana nguvu kwa kufungana bao 2-2 katika mtanange wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Muhimbili jijini Dar

Kikosi cha Alosco Group
Kikosi cha Oilcom
Nassor Said wa Alosco akiwatoka Mrisho Hamis (katikati) na Jabu Maulidi (7), wote wa Oilcom.
 Golikipa wa Oilcom Goodluck Nicholus, akiudaka mpira wa kona uliopigwa langoni kwake.
 Mohamed Kamonja (kushoto) akishangilia bao aliloifungia timu yake Alosco na mchezaji mwenzake Feisal Mohamed, wakati wa mchezo huo. 
 Mrisho Hamis wa OilCom (kushoto) akikimbilia mpira na  Salum Ahamad wa Alosco, wakati wa mchezo huo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.
Saidi Mradi wa Oilcom (anayepiga mpira), akifuatwa na Shaaban Hassan wa Alosco.
Omar Wenge wa Oilcom (kushoto), akipambana na Abubakar Sadiq (kulia) wa Alosco.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad