Katika kusherehekea sikukuu ya Mwaka wa 2014,Kampuni ya Zizzou Entertainment chini yake Kaka Mkubwa Othman Tippo a.k.a Zizzou kwa kushirikiana na ndugu,jamaa,marafiki pamoja na Wadau mbali mbali,waliweza kukutana kwa pamoja kuisherehekea siku hiyo kwa furaha na amani,ikiwa ni pamoja na kutakiana kheri ya fanaka tele katika Mwaka huu mpya wa 2014.Pichani ni Sehemu ya Ndugu,Jamaa,Marafiki na Wadau mbali mbali wa Zizzou walishiriki karika hafla hiyo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mdau Othman Tippo (Kati) sambamba na mwanasoka Henry Joseph (pili kushoto) wakiwa pamoja nasi katika usiku huo wa Mwaka mpya.
Mdau Othman Tippo a.k.a Zizzou akiwa na mwanae Nasri.
Nasri na anko wake.
Pozi la Mwaka Mpya.
stori za hapa na pale ikiwa ni pamoja na kuendelea kutakiana kheri ya mwaka mpya 2014.







No comments:
Post a Comment