Taarifa ya kuaminika iliyotufikia hivi Punde toka nchini Afrika Kunisi,inaeleza kuwa Waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa (pichani) amefariki Dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Mediclinic Kloff,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mh. Mgimwa alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presha ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake
Amin.


No comments:
Post a Comment