HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 18, 2014

WAZIRI MKUU AKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE KWA AJILI YA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa mafundi wanaokarabati Ukumbi wa Bunge la Katiba mjini Dodoma leo wanati akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa huo ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameketi kitini wakati akikagua marekebisho yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad