HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 22, 2014

RAIS KIKWETE ALIPOFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MATUMIZI YA RASILIMALI ZETU ZA GESI ASILIA, MAFUTA NA MADINI KWA AMANI NA MAENDELEO YA TANZANIA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  na baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na Maendeleo ya Tanzania linalofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad