Nyumba hii ipo katika hali nzuri na kuna wapangaji wanaishi
Sifa zake
Ina vyumba vitatu vya kulala ,choo cha ndani ,stoo,jiko na Sebule kubwa
Hati ipo nyumba ipo na vielelezo vyote nyeti
Eneo ambalo limejengwa ni alisimia 30 ya uwanja
uwanja una ukubwa wa Skwea mita 525
Maji na umeme upo
Barabara inafika hapa nyumbani
Nyumba hii inauzwa Tsh milioni 60 maelewano yapo
Kwa mawasiliano piga simu namba

No comments:
Post a Comment