HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 16, 2014

Maji ni Uhai

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog leo imewanasa watoto hawa ambao ni wanafunzi katika Shule ya Msingi Mgulani,wakinywa maji kutoka kwenye bomba mchana wa leo.sasa sijui na wao walichajia kwa kipimo cha ndoo kama ionekanavyo kwenye tangazo hapa ni vipi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad