Zimebaki siku 9 tu za kujaza fomu ya ushiriki.
1. Kijana wa Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda mwenye umri wa kati ya miaka 21 - 26, jaza fomu ya kushiriki shindano la Maisha Plus moja kwa moja mtandaoni kwa kubofya hapa
2. Kama wewe ni mkulima mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Tanzania ama unamfahamu yeyote, jaza fomu moja kwa moja kwa kubofya hapa --> http://maishaplus.tv/MamaShuja aFomu2014.html
Tunawatakia kila la Kheri.


No comments:
Post a Comment