HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 20, 2014

Mahojiano na Faria Zam kuhusu msaada kwa watoto walemavu Zanzibar

Pichani: Faria Zam muanzilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation nchini Uingereza akihojiwa na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC.
Karibu katika ya mahojiano na Jamii Production na Faria Zam a.k.a Ferry Butcher ambae ni muanzilishi wa kusaidia watoto walemavu Zanzibar kupitia (Hilmy Disability Charity Organisation) kutoka nchini Uingereza pale alipopata fursa ya kuhojiana na Abou Shatry kuhusu maswali mbalimbali ya kusaidia watoto wa walimavu Zanzibar siku ya Ijumaa Jan 17, 2014 Washington DC.
Mahojiano haya yameandaliwa na mwanaharakati Anu Khelef kutoka Leicester nchini Uingereza
Ungana nasi kwa kusikiliza

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad