HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 15, 2013

ubovu wa barabara wapelekea kukwama kwa magari,kijiji cha tandala Wilayani Makete

 Basi la kampuni ya Mwafrika likipenya kwa tabu pembezoni lilipokwama lori lililobebe nguzo za umeme
Basi la kampuni ya Japanese nalo likivutwa kunasuka kwenye tope zito wakati likitafuta upenyo wa kupita.
 Fuso ikiwa imekwama.
Jamaa akichimba ili aweze kupita 
 
 Lori likiwa limebeba nguzo za umeme likiwa limekwana eneo la Lwamadovela wilayani Makete
Picha zote na Edwin Moshi, makete

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad