Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Galawa akifungua mkutano wa 97 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kutoka katika Wizara na Taasisi mbalimbali za Umma. Mwenyekiti wa Mkutano huo ni Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akitoa maelezo ya utangulizi katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana akielezea umuhimu wa uaandaji wa vipindi vya elimu kwa umma kwa washiriki.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo.
Sehemu ya washiriki kutoka Wizara na Mashirika ya Umma.
Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Clement Mshana akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Hamis Mdee
Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa na Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
No comments:
Post a Comment