HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 10, 2013

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA IBADA YA KUMUOMBEA MZEE NELSON MANDELA KWENYE UWANJA WA SOCCER CITY JIJINI JOHANNESBURG LEO

 Rais wa Marekani,Barack Obama akihutubia maelfu wa waombolezaji wa Msiba wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini,Hayati Nelson Mandela waliopo kwenye Uwanja wa FNB Soccer City,Jijini Johannesburg.Rais Obama amemsifia sana Mzee Mandela na kwa mengi aliyoyafanya kwa Waafrika Kusini na Dunia nzima kwa Ujumla.
 Familia ya Hayati Nelson Mandela ikifuatilia misa maalum ya kumuombea kiongozi huyo Maarufu Duniani pamoja na kwamba mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha.
 Uwanja wa FNB Soccer City,Jijini Johannesburg unavyoonekana. 
Rais wa Marekani,Barack Obama na Mkewe wakiwa kwenye misa hiyo.
 Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Madikizela-Mandela ( kushoto ) na mjane wa Mandela Graca Machel ( kulia mwisho ) wakifuatilia misa hiyo.
 Maelfu wa wananchi walijitokeza katika misa hiyo pamoja na mvua kubwa kunyesha muda mrefu
Wakuu wa nchi mbali mbali Duniani wakiwa kwenye Misa hiyo leo.ambapo Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni mmoja wa viongozi hawaliopata fursa ya kuhudhulia misa hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad