Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt. Reginald Mengi wakiangalia moja ya jarika lenye kuonyesha mambo mbali mbali yahusuyo Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakitoa bududani kwenye Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wageni mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment