HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 5, 2013

JANUARY MAKAMBA KUUNGURUMA DMV JUMAPILI KUTAKUA NA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba

Jumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwakaribisha Watanzania wote siku ya Jumapili Desemba 8, 2013 Mhe. January Makamba atakapoongea na wana DMV na kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu. mkutano huo utafanyikia Mirage Hall anuani ni 1401 university Blvd, Hyattsville, MD 20783 pia Bw. Mayingu na msafara mzima wa kutoka mfuko wa pensheni watakuwepo kuelezea habari njema kutokana na mfuko huo.

Muda ni kuanzia saa 11 jioni na tunaomba tuzingatie muda. Vimiminika vyepesi na Vitafunwa vitakuwepo Karibuni sana na ukupata ujumbe huu tafadhali mtaarifu mwenzako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad