Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa Blog, leo imemnasa Mdau huyu akichota maji machafu yaliyotuama kutokana na mvua zilizopiga siku kadhaa zilizopita.maji hayo yalikuwa yakienda kuoshea moja ya gari lililokuwa limeegeshwa katika viwanja Biafra, Kinondoni jijini Dar. Hivyo wenye magari mnaoosha pale Kinondoni Biafra, hii ndio kazi inayofanyika.
Jamaa kwa raha zake.
dogo..hii nomah..kama mambo ndiyo hivi basi afadhali kuwa na bajaji nitaweza kuisafisha mwenywe badala ya shangingi..duuuuuuu !!
ReplyDeletemikidadi