HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 14, 2013

Crystal Bar ya Ndovu Special Malt iliyofanaya usiku wa kuamkia leo jijini Dar

Wadau mbali mbali wakiwasili kwenye Crystal Bar ya Ndovu Special Malt iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Police Officer's Mess,Masaki jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa watoa huduma katika Crystal Bar ya Ndovu Special Malt akimvisha listband mdau wakati alipowasili kwenye pati hilo.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli (shoto) akiwa na Mmoja wa wadau waliofika kwenye Crystal Bar iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Police Officer's Mess,Masaki jijini Dar es Salaam.ambapo wadau kibao wa jijini Dar walipata wasaa wa kujumuika pamoja katika pati hilo.
Ndovu Special Malt ni Bab Kubwa...
Yaani ilikuwa poa sana kwa kweli.
Wadau ndani ya nyumba.
Meneja Masoko wa TBL,Fimbo Buttallah pia alikuwepo.
Ubunifu Mwanana kabisa wa Kilaji cha Ndovu.
Warembo wa Ndovu Special Malt wakipozi kwa picha katika maeneo yao ya kazi.
Mwanamuziki Banana Zorro ndani ya nyumba.
Warembo.
Mara dansi likaanza na mambo yakawa namna hii.
Raha jipe mwenyeweeeee.....usingoje kupewa.
Mdau akipamba kilaji cha Ndovu mezani.
aaahhhh...... Dada Ester huyoooooo
Dansi limekolea.
Mwisho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad