HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 15, 2013

Rais Kikwete amtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa jijini Colombo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa (mwenye nguo nyeupe) kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa wakati alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyeji wake,Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa pindi alipokuwa akiondoka kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo leo Novemba 14, 2013 mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad