Bendi ya Musoma Stars ikitumbuiza katika bonanza la kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro lililofanyika jana kwenye viwanja vya Shule ya msingi Mkendo mjini Musoma.
Mashabiki
wa Timu za Simba na Yanga wakichuana vikali katika mchezo wa mbio za
magunia wakati wa muendelezo wa kampeni ya NANI MTANI JEMBE iliyofanyika
katika viwanja vya Shule ya msingi Mkendo mjini Musoma leo jana.
Mashabiki
wa timu za Yanga na Simba wakipambana katika mchezo wa kuvuta kamba
kwenye bonanza la kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro
ambalo limefanyika jana katika viwanja vya Shule ya msingi Mkendo mjini
Musoma.

No comments:
Post a Comment