Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko akiwahutubia washiriki wa mkutano.
Mtendaji mkuu wa DAWASCO, Jackson Midala akitoa mada yake juu ya upotevu wa maji jijini Dar es Salaam.
Mzee Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutano.
Mkurugenzi wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya vyanzo vya maji nchini.
Picha ya pamoja Mwenyekiti wa Mkutano, Bashir Mrindoko akiwa na Wakurugenzi wa Mamlaka za maji nchini na wenyeviti wa mamlaka hizo.

No comments:
Post a Comment