Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.Picha na OMR





umaskini haondolewi kwa maneno.Unahitaji mbinu,mipango endelevu pamoja na budget kufikia malengo.Tanzania serikali ina matumizi makubwa kupitiliza.
ReplyDelete