Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Juma Kassim Kiroboto (Juma Nature) akitumbuiza katika tamasha la uzinduzi wa chupa mpya ya kinywaji cha Grandmalt lililofanyika kwenye eneo la wazi la nje ya Uwanja wa Karume,Ilala jijini Dar es Salaam mchana wa leo,ambapo kinywaji hicho kimeanza programu maalum ya kuwawezesha wanafunzi kutumia kama kinywaji rasmi cha wanafunzi.
Kundi zima la TMK Wanaume Halisi chini yake Kibra Juma Kassim Kiroboto a.k.a Juma Natute likitoa burudani katika tamasha la uzinduzi wa chupa mpya ya kinywaji cha Grandmalt lililofanyika kwenye eneo la wazi la nje ya Uwanja wa Karume,Ilala jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Sehemu ya Wakazi wa Jiji la Dar wakifatilia Tamasha hilo.

No comments:
Post a Comment