HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 13, 2013

Hii Imekaaje wandugu???

 Huyu jamaa kiukweli hata sijamuelewa,yaani yeye ni Muuza viatu lakini cha ajabu mwenyewe hana hata vya kusingiziwa.hii imekaaje eti??

1 comment:

  1. Dogo ni kawaida na mazingara kwetu uswazi. Kwanza kauza vya kwake
    bei poa kuwepo na chakula nyumbani. Sasa anapigana na biashara ya tajiri kama havikuuzika vyote watapigiana mahesabu na tajiri vilivyouzwa atapewa mshiko wake. Je cha ajabu hapo ni nini?
    Mshikaji ameka sawa anajituma si sawa na kupigwa mawe kwa kupora.
    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete

Post Bottom Ad