HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 20, 2013

bonanza la Nani Mtani Jembe latikisa mji wa Morogoro

Golikipa wa Mashabiki wa Yanga, Sengerere Yussuf (kushoto), akiluka juu kuokoa mpila ulioelekezwa golini kwake katika Bonanza lililowakutanisha Mashabiki wa Simba na Yanga kupitia Kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kweuwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Morogoro jana.
Beki wa mashabiki wa Yanga, Mussa Said (kushoto) akipambana na mshambilia wa mashabiki wa Simba wakati wa Bonanza liliwakutanisha Mashabiki wa timu mbili hizo kupitia Kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Morogoro jana.
Mtoa huduma katika Bonanza lilifanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Morogoro jana, Mwanahamisi Seleman akiwahudumia wa Watumiaji wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kwaajili ya kutangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha Masabiki wa timu ya Simba na Yanga na kuendeshwa na bia hiyo.
Mashabiki wa Simba na Yanga wakipimana ubavu wa juvuta kamba wakati wa Bonanza ililofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege jana wakati wa kutangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Simba iliwashinda wenza wa yanga.
Shabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Yassin Mwange (kulia), akipuliza Vuvuzela wakati Tamasha la Bonanza lililoandaliwa na Bia hiyo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga Bonanza hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Morogoro jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad