HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 7, 2013

UTAFITI WAONESHA KIFUA KIKUU(TB) KUSUMBUA VIJIJINI ZAIDI KULIKO MIJINI

Mtoa mada na Mtafiti wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu(TB)Dr Said Egwaga akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Ngurdoto mkoani Arusha juu ya utafiti walioufanya mwaka 2011 katika wilaya 62 nchini ulibaini  kati ya watu Laki moja kuna wagonjwa wa Kifua Kikuu 295 na waliothirika zaidi ni wanaume ukilinganisha na wananwake na idadi kubwa iko maeneo ya  Vijijini  ukilinganisha na  mijini tofauti na walivyotarajia.
Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele nchini.Dr Upendo Mwingira akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano wa Kimataifa  cha taasisi za afya za jamii unaofanyika mkoani Arusha.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad