Thursday, October 3, 2013
Home
Unlabelled
UNAHABARI KWAMBA KUNA WATOTO WAMEOANA HUKO MJINI DODOMA??HEBU ANGALIA HII
UNAHABARI KWAMBA KUNA WATOTO WAMEOANA HUKO MJINI DODOMA??HEBU ANGALIA HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Othman ww mkubwa wa kuelewa kabisa miaka 15 si mwanamke wa si mwanaume ni washabaleghe sasa sie na mwenyezimungu nani anajua hao watoto au si watoto? Jengine je bora waoane au waendelee kuzini? Mkisema hawatosoma wangapi wazinifu wanakaa pamoja na wanasoma? Tutoe unafiki na kuingilia mambo ya watu na kwanini mwanahabari anakerwa na mwanaume zaidi?? Waacheni wawe kwenye Ndoa mbona wazinifu hawakamatwi? Othman ni bora ungeendeleza habari za Mtaani hasa sehemu za Mitaani hizi za juu wachie Blog zote kufanana haipendezi. MZ
ReplyDelete