Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi Tekinolojia na Mawasiliano Profesa Patrick Makungu akifungua semina ya siku tatu inayokutanisha Wataalamu mbalimbali wa TEHAMA kutoka nchi za (SADC) zinazounganishwa na taasisi ya Southern Africa Telecommunications Association.
(SATA) ili kujadili namna ya kuzuia Wizi na uhalifu kupitia kwenye mtandao (Fraud Management, Revenue Assurance and Network/Cyber Security) inayofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam ikishirikisha makampuni ya simu katika nchi za kusini mwa Afrika, Katika semina hiyo kumeripotiwa wizi wa fedha unaofikia asilimia 8% mpaka 13% ikiwa ni pamoja na uhalifu mwingine, Semina hiyo imeandaliwa kwa pamoja na Kampuni ya Simu ya TTCL ikishirikiana na Taasisi ya Southern Africa Telecommunications Association. (SATA)PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KUNDUCHI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL Dr. Kamugisha Kazaura akizungumza katika semina hiyo wakati akiwakaribisha washiriki wa semina hiyo inayofanyika kwenye honteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL Dr. Kamugisha Kazaura akizungumza katika semina hiyo wakati akiwakaribisha washiriki wa semina hiyo inayofanyika kwenye honteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi Tekinolojia na Mawasiliano Profesa Patrick Makungu akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.




No comments:
Post a Comment