HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 15, 2013

tingatinga likibomoa majengo makete mjini kupisha ujenzi wa barabara

 Tingatinga likibomoa huku kulia wakionekana wamiliki wa jengo hilo wakiokota masalia ya vitu wanavyoona vitawafaa kwa badaye
 Masalia ya zoezi la bomoa bomoa yakipakiwa kwenye lori tayari kwenda kumwagwa mbali
 Tingatinga likibomoa kuta za nyumba ambazo zipo kwenye hifadhi ya barabara Makete mjini
Baada ya kumaliza kazi hapa linaondoka kuelekea eneo jingine(picha zote na Edwin Moshi, Makete)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad