Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh. Ali Juma Shamuhuna akifunguwa resi za ngalawa Foroza Mchangani mjini Zanzibar.
Ngalawa zikionekana kuanza resi hizo siku ya Utalii Duniani .
Mshindi wa mwanzo wa ngalawa ya Lailati Bw Khalidi Khamis akipokea zawadi kwa mgeni rasimi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh Ali Juma Shamuhuna.
Mmoja
wa watalii akijikuta akiingia katikati ya ngoma za utamaduni baada ya
kunogewa na ngoma ya Msewe maarufu kama 'Kibati' siku ya Utalii Duniani
iliyoadhimishwa Zanzibar.
Ngongoti huyu akiwa mmoja wa kiburudisho katika sherehe hizo.

No comments:
Post a Comment