Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Oman nchini anayemaliza muda wake Mhe.Yahya Mousa Al Bakary ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Balozi huyo alikwenda ikulu kumuaga Rais(picha na Freddy Maro).
Sunday, October 13, 2013
Home
Unlabelled
Rais Kikwete aagana na Balozi wa Oman nchini
Rais Kikwete aagana na Balozi wa Oman nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment