Meneja masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara akimkabidhi, Emiliana Lusenga, zawadi ya TV ya Samsung LED Inch 32 wakati wa droo ya mwezi Septemba kwa wateja wa bidhaa za Samsung iliyochezesha Mwenge jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara akimkabidhi, Deus Kanyalawa, zawadi ya Home thiethre wakati wa droo ya mwezi Septemba kwa wateja wa bidhaa za Samsung iliyochezesha Mwenge jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.



No comments:
Post a Comment