Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma wakati walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana. Makamu amewasili mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Malagalasi katika Wilaya ya Uvinza kesho. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma za asili na kumpongeza mmoja wa wasanii hao wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza baada ya kukabidhiwa ripoti ya Mkoa wa Kigoma leo mchana.





Doctor. Bilali tuna kukaribisha kwetu ufungue kivuko cha Ilagala ambacho ilikuwa kero kwetu sisi wananchi na ambacho ni muhimu kwa maendeleo ya maeneo haya na taifa kwa ujumla.Mmesema mta yatimiza yaliyo mengi katika kuawa endeleza wana nchi katika kufungua milango ya mawasiliano hususan kigoma kusini. Aidha napenda kuchukua fursahii kukuomba upange tena kutewatembelea wananchi wa mwambao wa ziwa tanganyika ambo waliona kuwa serilkali ime watenga.karibu sana mheshimiwa makamu wa raisi wetu.
ReplyDelete