Watumiaji wa barabara kuu ya
Makete-Njombe eneo la Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe,
hawatausahau usiku wa kuamkia leo Ijumaa baada ya mawasiliano ya
barabara hiyo kukatika kwa masaa zaidi ya12 kutokana na mvua iliyonyesha
eneo hilo lililolundikwa vifusi, huku wengine wakihofiwa kulala eneo
hilo
Mvua hiyo ilisababisha barabara hiyo
kufungwa kwa saa kadhaa kutokana na malori na mabasi ya abiria kukwama
kutokana na eneo hilo kugeuka tope

No comments:
Post a Comment