Baadhi ya wanafunzi waliofika katika madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani yalifanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la Watoto UNICEF Khamis Ussi Khamis akitoa salamu za shirika hilo kuhusu madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mmoja
wa wasanii wa kikundi cha Kigunia Arts Group akinawa mikono kama ishara
ya kuadhimisha siku ya Unawaji Mikono Duniani ambapo kwa Zanzibar
Maadhimisho hayo iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar, Muhammed Dahoma na Kaimu Mkuu Kitengo cha Afya Mazingira Bi. Rukaiya Mohamed Said wakibadilishana mawazo wakatika wa madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani ilioadhimishwa Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Sira Ubwa Mamboya akiwahutubia wananchi katika madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:
Post a Comment