HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 3, 2013

Kilimanjaro Lager yaja na kampeni mpya ya Nani Mtani Jembe

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Makamu mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare maarufu kama Mzee Kinesi akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mohammed Bhinda akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishiriki kuvuta kamba katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Elipidius Benedicto akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Eric Manyirizu akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakicheza fussball katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.
nyakazi wa TBL Mwanza ambaye ni shabiki wa Yanga akishiriki kupiga vuvuzela katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad