HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 22, 2013

KAMPENI ZA NANI MTANI JEMBE ZATIA TIMU NDANI YA KANDA YA ZIWA

Mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya kuwashinda wapinzani wao jukwaani. hii ilikuwa ni ktk baa ya Madaha green park Misungwi kwenye kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro.
Mashabiki wa Yanga wakiwaburuza wapinzani wao Simba ktk mchezo wa kuvuta kamba mjini Misungwi kwenye baa ya Madaha green park tar 19/10/13. Yote ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Shabiki wa timu ya Simba ndg Ramadhan akifurahia kupata jezi ya timu yake baada kushinda ktk jukwaa, Hii ni ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro kwenye baa ya Magaha green park ktk mji wa Misungwi Mwanza tar 19/10/13.
Mkazi wa Misungwi ndg Maiko Sabuni akishangilia kwa kupiga push up baada ya kushinda mchezo wa danadana ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilimanjaro ktk baa ya Madaha Green Park tar 19/10/13
Shabiki wa Yanga Emanuel Jacob akifurahia kuvalishwa jezi ya timu yake baada ya ushindi jukwaani mjini Misungwi ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya Kilmanjaro Premium Lager.
Wakazi wa Magu wakishiriki zoezi la kupiga mpira wa penati ukiwa umefungwa kutambaa usoni, ni ktk kampeni za NANI MTANI JEMBE kupitia bia ya KILIMANJARO ktk baa ya Spears ClassicLoge Magu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad