Wajumbe
wa Mkutano wa 23 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa pensheni wa PPF,
waliokuwa wakishiriki mkutano huo kwa siku tatu mfululizo,jana walipata
fursa ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ikiwa ni sehemu ya
Utalii wa ndani ili kuweza kujionyea vivutio mbali mbali ndani ya
hifadhi hiyo iliopo ndani ya Mkoa wa Manyara.Picha zote na Othman Michuzi
BOFYA READ MORE HAPO CHINI KUSHOTO KUONA PICHA ZAIDI





































No comments:
Post a Comment