HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 10, 2013

Dogo wa Sop Sop kwenye Vioo vya Magari

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ikiwa haina hili wala lile,kwenye mitaa ya jijini Dar.Ghafla ikaona maji ya Sabuni yakimwagiwa kwenye kioo cha gari alilopanda kamera mani wetu.si ndio akaitoa kamera yake hiyo ya Kusaka mavituzii ya Mitaani na kuelekezea alipo muhusika na kufanikiwa kuzinasa taswira hizi za Dogo huyu anaepiga sop sop vioo vya magari ya watu maeneo ya mjini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad