HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 12, 2013

Dereva wa Boda Boda leo kakutana Mtemi

Hii imetokea mchana huu baada ya Dereva huyo wa Boda boda kuipiga pasi (kukwangua rangi) kwenye gari ya jamaa huyo na kutana kula kona,kumbe jamaa kamuona na akaamua kumlia denge na kumdaka.kilichoendelea hapo wee acha tu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad