Mashabiki wa timu za Simba na Yanga mkoani Arusha wakipiga jalamba kabla ya kuingia kwenye mpambano wao mkali wa kuchenza mpira wa miguu na mchezo wa kuvuta kamba kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga walishinda.
Kipa wa mashabiki wa Simba wa Arusha akiokoa moja ya hatari langoni mwake kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga ilishinda kwa 1-0.
Mashabiki wa Simba na Yanga mkoani Arusha wakishindana kuvuta kamba kwenye bonanza la Nani Mtani Jembe’ lililofanyika kwenye viwanja vya General Tyre,Arusha. Tamasha hilo lilidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambapo Yanga walishinda.

Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia ushindi wao.
No comments:
Post a Comment