HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 15, 2013

Biashara ya Makopo ya Maji yaliyotumika yazidi shika kasi

 Pichani ni Gari aina ya Canter ikiwa imesheheni Lumbesa la Makopo ya maji yaliyotumika safarini kwenda kuuzwa sehemu husika.tangu kuanza kwa biashara hii,sasa hivi kukutana na kopo tupu la maji mitaani ni nadra sana.kwa kifupi ni kwamba,kopo la maji sasa hivi si uchafu tena bali ni malighafi.
Mjamaa akiwa kajiachia kabisa juu ya makopo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad