HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 27, 2013

Watu wengine kwa kupenda uchokozi na Tanesco hawajambo.....

Sasa ona kama hawa walioamua kuanika viatu vyao kwenye nyaya za Umeme bila hata sababu za msingi,kama sio uchokozi na Tanesco ni nini??

2 comments:

  1. Wewe hujajua hiyo ni alama za wauza unga wakihabarishana kwamba katika eneo hilo 'bwimbwi' linapatikana kwa raha zao, fanya uchunguzi kwa mateja watakupasheni vyema.
    Mkali Kwanza

    ReplyDelete
  2. Matangazo ni Biashara na Biashara ni Matangazo.. Hapo Maana yake NGADA aka Masogange anapatikana hapa.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad