Chemba likitililisha maji taka yaliochanganikana vinyesi kama lilivyokutwa na kamera yetu ya Mtaa kwa mtaa Septemba 15-2013,eneo la Mwenge Mansipaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam,hali hiyo imekuwa ikileta kero kwa wakazi wa eneo hilo kutokana na harufu mbaya inayosambaa,kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wamesema tatizo la chemba kutokana na kujaa sana na kupelekea kufumuka.kitendo ambacho kina hatarisha Afya kwa wakazi wa eneo hilo.
Maji taka yaliochanganyikana na vinyesi yakiwa yametuama kwenye chemba hiyo.

No comments:
Post a Comment