Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuki (kushoto) akipokea kikombe cha chai kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani uliofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 24/09/2013. Kikombe hicho kinapomiminiwa chai kinatoa ujumbe maalum kuhusu haki za wafanyakazi wa majumbani. Anayeshuhudia ni mwakilishi kutoka ILO ambaye alihudhuria uzinduzi huo.
Naibu
waziri wa Katiba na Sheria Mh. Angellah Kairuk i(wa tatu kushoto)
akiimba wimbo wa mshikamano pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama cha
wafanyakazi wa majumbani (CHODAWU) wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa
njia ya vyombo vya habari juu ya kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa
majumbani uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,
tarehe 24/09/2013.

No comments:
Post a Comment