HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 14, 2013

TBL YATANGAZA ZAWADI ZA WASHINDI WA SAFARI NATIONAL POOL CHAMPIONSHIP

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi,katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, kikombe cha mshindi wa kwanza wa mashindano ya Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga,medali za washindi wa Fainali za Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad