HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 30, 2013

MWENGE WA UHURU WATUA MAKETE

 Gari lililobeba mwenge wa uhuru likiwasili katika viwanja vya makabidhiano katika kata ya Mang'oto wilayani Makete mapema leo asubuhi
 Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe akisoma ripoti inayoonesha idadi na gharama za miradi ya maendeleo iliyozinduliwa na mwenge huo wilayani mwake kabla ya kuukabidhi kwa mkuu wa wilaya ya Makete
 Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe(kushoto) akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro mwenge wa uhuru
 Mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro akila kiapo cha kuupokea mwenge huo ukiwa salama
 Wakipongezana baada ya makabidhiano
Sehemu ya wananchi wa mang'otowaliofika kushuhudia mapokezi ya mwenge wa uhuru ndani ya wilaya ya Makete(PICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI, MAKETE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad