HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 21, 2013

Mh. Lowassa aongoza Kikao cha Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden leo

Mwenyekiti wa Kamati ya BUNGE, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Edward Lowassa (katikati) akimsikiliza mmoja wa wajumbe wa kikao alichokiongoza wakati alipokutana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm,Sweeden.Waliohudhuria kwenye kikao hicho ni Balozi Muhammed Mzale,Mhe. Juma Nkamia,Mhe. Suzanne Lyimo,Bw. Jacob Msekwa,Bw. Athuman Brambath,Bw. Yusuf Mndolwa,Bw. Arthur Mwambene na Bi Apronia Rutaihwa.Kikao hicho kimefanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ubalozi huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad